• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Polisi wa Uganda yawazuia waandamanaji wanapinga marekebisho ya katiba

    (GMT+08:00) 2017-09-20 09:28:15

    Polisi nchini Uganda yavunja maandamano ya wanaopinga kuondolewa kwa kizuizi cha umri kwenye katiba ya nchi hiyo, huku usalama ukiimarishwa kwenye majengo ya bunge wakati mswada huo ukitarajiwa kuwasilishwa bungeni hii leo. Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya kidini nchini Uganda wataka mazungumzo yafanywe ili kuepusha vurugu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako