• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakulima Kenya washikwa na hofu ya kupata hasara kutokana na viwavi

    (GMT+08:00) 2017-09-20 09:28:39

    Wakulima wa mahindi wa eneo la bonde la ufa nchini Kenya wametahadharisha kuhusu uwezekano wa kupata mavuno kidogo ya mahindi kwa mwaka kesho, kutokana na mashamba yao kuvamiwa na viwavi. Tahadhari hii imetolewa wakati Kenya inaendelea baadhi ya maeneo ya Kenya yanaendelea kukumbwa na uhaba wa chakula kutokana na madhara ya ukame mkali wa mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako