• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wawili zaidi wakamatwa kutokana na mlipuko uliotokea kwenye subway huko London

    (GMT+08:00) 2017-09-20 19:27:11

    Watu wengine wawili wamekamatwa katika mji wa Newport, Welsh kutokana na tuhuma za kuhusika na mlipuko uliotokea hivi karibuni katika kituo cha subway kilichoko magharibi mwa London, na kufanya idadi ya watu wanaoshikiliwa kufikia watano.

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 48 na mwingine mwenye umri wa miaka 30 wamekamatwa chini ya sheria ya ugaidi baada ya msako uliofanyika huko Newport, kusini mwa Wales.

    Katika shambulizi hilo lililotokea ijumaa iliyopita, watu 30 walijeruhiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako