• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kibarua cha kocha wa timu ya wanawake Uingereza chaota mbawa

    (GMT+08:00) 2017-09-21 08:22:09

    Meneja wa timu ya taifa ya wanawake ya Uingereza Mark Sampson, ambaye amekuwa akituhumiwa kwa ubaguzi wa rangi sambamba na matumizi ya nguvu amefukuzwa.

    Chama cha soka cha Uingereza FA kimesema kufukuzwa kwake kunafuatia kuthibitishwa kwa tuhuma zilizokuwa zikimkabili ambazo awali zilikuwa zikifanyiwa upelelezi. Awali mshambuliaji wa timu hiyo Eniola Aluko alimtuhumu Sampson kwa ubaguzi.

    Sampson amekana tuhuma hizo na kusema ni hujuma juu yake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako