• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Asilimia 67 ya wahojiwa wa Russia watumai Bw. Putin aendelee kuwa rais

    (GMT+08:00) 2017-09-21 09:02:30

    Uchunguzi uliofanywa na Shirika huru la kura za maoni la Russia Levada Center unaonesha kuwa asilimia 67 ya warussia waliohojiwa wanatumai kuona rais Vladimir Putin anashinda kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani, huku asilimia 18 wakimpinga kuendelea kuwa rais. Uchunguzi pia unaonesha kuwa zaidi ya nusu ya wahojiwa wamesema watapiga kura kwenye uchaguzi mkuu huo, huku asilimia 20 wakisema hawatapiga kura.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako