• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Benki ya NMB yaetoa milioni Sh100 kuwezesha mkutano mkuu wa Alat

    (GMT+08:00) 2017-09-21 18:32:45

    Benki ya NMB imetoa hundi ya Sh100 milioni kuwezesha mkutano mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Alat), utakaofanyika Oktoba 2 hadi 6 jijini Mbeya.

    Richard Makungwa, ofisa mkuu wa idara ya wateja wakubwa na Serikali wa NMB amesema wametoa fedha hizo kuunga mkono jitihada za Alat na kuiwezesha iwajibike ipasavyo kulingana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia.

    Makamu Mwenyekiti wa Alat, Steven Mhapa amesema pamoja na mambo mengine, mkutano huo utahimiza halmashauri zote kutenga maeneo kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vidogo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako