• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikosi cha nane cha walinzi wa amani wa China chafunga safari kwenda Sudan kusini

    (GMT+08:00) 2017-09-22 08:40:53

    Kikosi cha nane cha walinzi wa amani wa China, kimefunga safari jana kuelekea nchini Sudan kusini, na kitatekeleza majukumu ya kulinda amani kwenye eneo la Wau kwa muda wa mwaka mmoja. Kikosi hicho chenye watu 331 kinaundwa na askari 268 wa uhandisi, na askari 63 wa matibabu. Kamisaa wa kikosi cha askari wa uhandisi Bw. Qin Shufa amesema kikosi wa walinzi wa amani wa China si kama tu kinalinda amani, na bali pia kinaeneza urafiki na ustaarabu, na kitakamilisha vizuri majukumu yake ili kuonesha sura ya kuwajibika ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako