• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zaidi ya wahamiaji 100 wafa maji baharini karibu na pwani ya Libya

    (GMT+08:00) 2017-09-22 08:41:53

    Msemaji wa jeshi la majini la Libya Bw. Ayob Qasem amesema zaidi ya wahamiaji mia moja wamekufa maji kwenye eneo la bahari magharibi mwa pwani ya Zawara ya Libya, wakiwa njiani kuelekea Ulaya. Bw. Qasem amesema walinzi wa pwani walifanikiwa kuwaokoa wahamiaji saba waliokuwa kwenye boti ya mbao kilomita 20 kutoka pwani, na jeshi la majini la Libya limeokoa zaidi ya wahamiaji elfu tatu kutoka nchi mbalimbali katika siku kumi zilizopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako