• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zambia yatafuta msaada wa kimataifa kwa ajili ya kushughulikia wimbi la wakimbizi wa DRC

    (GMT+08:00) 2017-09-22 09:28:38

    Rais Edgar Lungu wa Zambia ameitaka jumuiya ya kimataifa kutoa msaada kwa Zambia inayopokea idadi kubwa ya watu wa DRC wanaotafuta hifadhi.

    Rais Lungu amesema ana wasiwasi kuhusu wimbi kubwa la wakimbizi wanaoingia nchi mwake na wanahitaji msaada ili kuwapokea.

    Kuanzia wiki kadhaa zilizopita Zambia imeshuhudia wimbi kubwa la wakimbizi kutoka DRC, na sasa inapokea karibu watu 500 kila siku kutoka nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako