• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Beijing yatenga njia zaidi za mabasi katika kuadhimisha Siku ya Kutoendesha Magari Duniani

    (GMT+08:00) 2017-09-22 18:12:23

    Mamlaka ya usafiri mjini Beijing imetenga maeneo ya kutoendesha magari na kufungua njia zaidi kwa ajili ya mabasi, ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Kutoendesha Magari Duniani.

    Magari yanazuiliwa kuanzia saa tatu kamili asubuhi hadi saa kumi jioni kwa saa za China katika maeneo matatu katibu na Mtaa wa Wangfujing, Barabara ya Nanluoguxian, na Kito cha Michezo ya Olimpiki cha Beijing.

    Septemba ni mwezi wenye shughuli nyingi kutokana na manunuzi yanayofanywa na kutembelea familia ikiwa ni kuelekea Siku ya Taifa ambayo ni Oktoba Mosi na sikukuu ya mbalamwezi itakayosherehekewa tarehe 4 mwezi ujao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako