• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa China ahudhuria mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za BRICS

    (GMT+08:00) 2017-09-22 18:49:54

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi huko New York amehudhuria mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za BRICS.

    Katika mzungumzo hayo, mawaziri hao wamepongeza mafanikio yaliyopatikana katika mkutano wa viongozi wa nchi za BRICS uliofanyika Xiamen, China, ambapo viongozi wa nchi za kundi hilo walikubaliana kujenga uhusiano wa kiwenzi na kimkakati wenye ukaribu, upana na katika pande zote.

    Mawaziri hao pia wamepongeza kufungua muongo wa pili wa dhahabu wa ushirikiano wa nchi za BRICS, huku wakisifu kazi zinazofanywa na China ikiwa nchi mwenyekiti wa zamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako