• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Luteka ya pamoja baharini China na Russia ya mwaka 2017 yaendelea

    (GMT+08:00) 2017-09-24 17:35:44

    Luteka ya pamoja ya China na Russia ya mwaka 2017 imeingia katika siku ya pili kwa kufanya mazoezi baharini yanayohusisha manowari kujilinda kutoka mashambulizi ya ndege, manowari ndogo , na manowari nyingine pamoja na kufanya operesheni ya pamoja.

    Askari, ndege na manowari wa aina mbalimbali kutoka pande hizo mbili zimeshiriki katika mazoezi hayo. Kiongozi wa manowari ya Shijiazhuang ya jeshi la majini la China Bw. Li Zhiguo amesema lengo la mazoezi hayo ni kuongeza uwezo wa manowari wa kujizoeza, kutoa majibu kwa mashambulizi, na kupambana kwenye hali yenye utatanishi katika eneo la bahari lisilofahamika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako