• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uturuki kuongeza muda wa kufanya operesheni ya kijeshi nchini Iraq na Syria kwa mwaka mmoja zaidi

    (GMT+08:00) 2017-09-24 17:48:19

    Bunge la Uturuki jana limepitisha muswada wa kuongeza muda wa kufanya operesheni ya kijeshi nchini Iraq na Syria kwa mwaka mmoja zaidi.

    Wachambuzi wanaona kuwa, hii ni hatua ya Uturuki ya kukabiliana na upigaji kura za maoni ya raia kuhusu kujitenga kwa eneo la wakurd na Iraq, ambayo itafanya maandalizi kwa serikali ya Uturuki kufanya operesheni nchini Iraq.

    Mwezi Juni mwaka huu, serikali ya eneo la Kurd nchini Iraq ilitangaza kupiga kura za maoni ya raia kuhusu kujitenga kwa eneo hilo na Iraq tarehe 25 mwezi Septemba, na uamuzi huo ulipingwa na serikali kuu ya Iraq na nchi jirani za Uturuki na Iran.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako