• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu Uingereza (EPL): Chelsea, Man U, Man City na Tottenham zafanya vyema.

    (GMT+08:00) 2017-09-25 08:35:34

    Kwa mara ya kwanza katika msimu huu Alvaro Morata anapiga Hat-Trick na kuisaidia Chelsea kuibuka na ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Stoke City.

    Katika mechi ya Tottenham na West Ham hadi mchezo unamalizika, Tottenham waliibuka na ushindi wa goli 3-2. Nayo Manchester United imeifunga Southamton goli 1-0. Huku Manchester City wakiibamiza bila huruma Cystal Palace 5-0. Nayo Liverpool yakumbuka shuka kukipambazuka kwa kuifunga Leicester City 2-1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako