• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakimbizi wa Sudan Kusini katika jimbo la White Nile nchini Sudan wafikia 143,800

    (GMT+08:00) 2017-09-25 09:04:10

    Taarifa iliyotolewa na kamishna wa misaada ya kibinadamu katika jimbo la White Nile nchini Sudan, inasema idadi ya wakimbizi wa Sudan Kusini katika jimbo hilo imefikia zaidi ya laki 1.4, na mashirika ya taifa na Shirika la mpango wa chakula la umoja wa mataifa WFP yanatoa misaada ya chakula kwa wakimbizi hao. Taarifa inakadiria kuwa wakimbizi wengi zaidi watafika kwenye kambi mbalimbali katika jimbo hilo katika kipindi kijacho kutokana na kukosekana kwa usalama nchini Sudan kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako