• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi na mashirika ya kimatafia 74 zasaini waraka wa ushirikiano wa Ukanda Mmoja na Njia Moja

    (GMT+08:00) 2017-09-25 18:30:55

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang leo hapa Beijing amesema, hadi kufikia sasa, nchi na mashirika ya kimataifa yapatazo 74 zimesaini waraka wa ushirikiano na China kuhusu pendekezo la Ukanda Mmoja na Njia Moja, ikiwa ni ishara kuwa pendekezo hilo linaungwa mkono na nchi nyingi na mashirika mengi zaidi duniani.

    Bw. Lu amesema, katika mchakato wa ujenzi wa Ukanda Mmoja na Njia Moja, China siku zote inashikilia wazo wa "kujadiliana kwa pamoja, kujenga kwa pamoja na kunufaika kwa pamoja", na kushirikiana na nchi husika kuhimiza ujenzi wa mfumo wa haki wa uwekezaji na biashara za kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako