• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Serikali ya Tanzania imesema haina habari juu ya kuongezwa kwa ada ya ukaguzi wa ngano kutoka TZ

    (GMT+08:00) 2017-09-25 19:11:47

    Serikali ya Tanzania imesema haina habari juu ya uamuzi wa Kenya wa kuongeza ada ya ukaguzi kwa ngano kutoka Tanzania.

    Kenya imesemekana kuongeza ada za ukaguzi wa ngano mpakani kutoka Ksh600 (karibu Sh13,000) kwa lori hadi Ksh8,000 (Sh176,000), hatua ambayo itafungua nje baadhi hiyo, na kutishia kuongeza vita vya kibiashara kati ya nchi hizo mbili.

    Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage, amewataka wafanyabiashara kumjulisha kuhusu masuala yoyote yanayohusiana na vikwazo vya biashara ili waweze kushughulikiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako