Wakenya hivi karibuni wataanza kutengeneza pamba kwa njia ya kisayansi maarufu GMO.
Kuanzishwa kwa pamba iliyotengenezwa kwa njia ya kisayansi nchini Kenya, wawekezaji wakuu katika sekta hiyo wamesema, itasaidia kuongeza uzalishaji, kuongeza mapato ya wakulima na kujenga ajira zaidi.
Waziri wa Kilimo Willy Bett alithibitisha kwamba Serikali imekubali kuzalishwa kwa pamba ya kisayansi.
Kwa mujibu wa wawekezaji wa viwanda, pamba iliyotengenezwa kwa njia ya kisayansi inaweza kutoa asilimia 80 ya mazao ya juu.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |