• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Wajumbe wa China waipa Uganda mawaidha juu ya utalii

    (GMT+08:00) 2017-09-25 19:12:28

    Balozi wa China nchini Uganda ameomba makampuni ya utalii na mashirika ya kusafiri kuunda ushirikiano na mashirika ya kusafiri ya Kichina ili kuvutia watalii zaidi wa China nchini Uganda.

    Ameendelea kusema Kenya, Tanzania na Afrika Kusini mara kwa mara unapata zimejaa hivyo inakuwa ngumu kutembelea nchini hizo, lakini Uganda ina maeneo mazuri ya kuzuru na wanyama wengi, hasa Gorilla za Mlima ambazo watu wanataka kuona.

    Pia alisisiiza kwamba wateja ambao mashirika ya Uganda wanapaswa kuwa walenga kuzuru Uganda ni makampuni ya utalii ya china na mashirika ya usafiri yake ambazo zinauza wageni wa Kichina.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako