• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Taifa Stars kuivaa Malawi Oktoba, mechi ya kirafiki ya kimataifa

    (GMT+08:00) 2017-09-26 08:44:36

    Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Salum Mayanga ametaja kikosi kitakachoivaa timu ya taifa ya Malawi Oktoba 7 kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ikiwa ni mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa kalenda ya FIFA.

    Kikosi hicho kitaingia kambini Oktoba mosi kikijumuisha wachezaji wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi akiwemo Mbwana Samatta anayechezea KRC Genki ya Ubelgiji, Morel Orgenes anayechezea FC Famalicao ya Ureno, Simon Msuva anayekipiga Difaa El Jadidah ya Morocco, Abdi Banda anayechezea Baroka ya Afrika Kusini na Abdul Hila anayekipiga ktika klabu ya Tusker ya Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako