• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya mchezo wa Taekwondo Grand Prix nchini Morocco: Jade Jones atwaa medali ya fedha

    (GMT+08:00) 2017-09-26 08:45:37

    Bingwa mara mbili wa Olimpiki kutoka Uingereza Jade Jones, amerejea katika ushindani baada ya kupata medali ya fedha kwenye mashindano ya mchezo wa Taekwondo Grand Prix yaliyofanyika nchini Morocco.

    Jones, mwenye umri wa miaka 24, ameshinda kwa mara ya kwanza tangu ashinde medali ya shaba katika michuano ya dunia mwezi Juni.

    Nao Bianca Walkden na Mahama Cho walishinda dhahabu siku ya Ijumaa

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako