• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu Uingereza (EPL) Brighton yaifunga New Castle United

    (GMT+08:00) 2017-09-26 08:46:20

    Klabu ya soka ya Brigthon Hove Albion Jumapili ikimenyana na Newcastlle United ilifanikiwa kujizolea alama tatu baada ya kuchomoza na ushindi wa bao 1-0 kwa bao la Tomer Hemed la dakika ya 51 kipindi cha kwanza na kufikisha alama 7 katika msimamo wa ligi hiyo. Mechi nyingine ilipigwa jana kwenye dimba la Emirates kati ya Arsenal na West Brom Wich Albion, Arsenal wameiubuka na ushindi wa mabao 2-0. Magoli yamefungwa na mshambuliaji mpya wa timu hiyo Alexandre Lacazette.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako