• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yasema matumizi ya nguvu ya kijeshi si chaguo la utatuzi wa suala la peninsula ya Korea

    (GMT+08:00) 2017-09-26 18:24:49

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang leo hapa Beijing amesema, kuweka vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini ni njia ya kuihimiza nchi hiyo itilie maanani ufuatiliaji wa jumuiya ya kimataifa, na kurudi kwenye njia sahihi ya mazungumzo

    Wakati huo huo, China inazitaka Marekani na Korea Kaskazini zitambue mvutano kati yao hausaidii kutatua suala la peninsula ya Korea, na pande zote hazitanufaika na vita.

    Bw. Lu amesema, China inaitaka Marekani itekeleze ahadi zake, pia inaitaka Korea Kaskazini irudi kwa mwelekeo sahihi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako