• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda kuandaa mkutano wa mashirika ya ndege Novemba.

    (GMT+08:00) 2017-09-26 19:03:20

    Rwanda itaandaa mkutano wa kila mwaka wa 49 wa vyama vya mashirika ya ndege (AFRAA) mwezi Novemba.

    Mkutano wa 48 ulifanyika mwaka jana huko Victoria Falls, nchini Zimbabwe.

    Mkutani wa Rwanda unatarajiwa kuleta pamoja washiriki 500 kutoka kwa sekta ya ndege barani Afrika, Ulaya, Mashariki ya Kati, Asia na Amerika.

    Katibu mkuuu wa Elijah Chingosho amesema mkutano huo unawezesha wadau kutathmini hatua zilizopigwa na kujadili mustakhabali wa sekta hiyo.

    Alisema watajadili maswala kama viule uchukuzi wa angani, changamoto na fursa zilizopo kwenye sekta hiyo barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako