• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mfanyabiashara wa Nigeria kutafuta mafuta Uganda

    (GMT+08:00) 2017-09-26 19:04:06

    Mfanya biashara tajiri kutoka Nigeria Arthur Eze anatarajiwa kuanza shughuli za utafutaji wa mafuta nchini Uganda katika eneo la Hoima.

    Serikali ya Uganda itatoa leseni wiki ijayo ya utafutaji wa mafuta kwa kampuni yake ya Oranto Petroleum.

    Wizara ya kawi nchini humo imesema sasa iko tayari kusaini makubaliano na kutoa leseni baada ya kucheleweshwa mara kadhaa.

    Uganda tayari imegundua mafuta katika eneo la ziwa Albert na inatarajia kuanza kuuza hivi karibuni kupitia bandari ya Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako