• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Real Madrid yaididimiza Dortmund nyumbani kwao kwa kipigo cha 3-1

    (GMT+08:00) 2017-09-27 09:12:53

    Licha ya kusuasua kwenye La Liga, Real Madrid imeonyesha haitaki mchezo na ligi ya mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Borussia Dortmund kwa mabao 3-1 ikiwa nyumbani kwao Ujerumani.

    Madrid imeshinda kwa mabao 2 ya Cristiano Ronaldo huku nyota wake mwinngine, Gareth Bale akifunga bao la kwanza.

    Matokeo ya mechi zingine, Liverpool wamelzimishwa sare ya 1-1 na Spartak, nayo Tottenham ikipata ushindi wa 3-0 dhidi ya Apoel, huku Sevilla wakiifunga Maribor 3-0, nayo Manchester City ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Shakhtar, Monaco ikipoteza kwa Oporto kwa kufungwa 3-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako