• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la COSAFA: Afrika kusini bingwa mpya wa michuano ya COSAFA, yaivua ubingwa Zimbabwe

    (GMT+08:00) 2017-09-27 09:17:36

    Timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Afrika Kusini Banyana Banyana imeifunga Mighty Warriors ya Zimbabwe mabao 2-1 katika mchezo wa fainali uliopigwa Jumapili kwenye uwanja wa Bouberfield mjini Bulawayo nchini Zimbabwe na kutwaa ubingwa wa michuano ya soka ya wanawake kombe la COSAFA.

    Timu ya Zambia yenyewe imemaliza katika nafasi ya 3 baada ya kuifunga Harambee Starlet ya Kenya mabao 4-2 kupitia mikwaju ya penalti kwenye michuano hiyo kumtafuta mshindi wa 3.

    Michuano ya kombe la COSAFA, hushirikisha mataifa ya nchi za ukanda wa kusini mwa Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako