• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ni vigumu kuifunga Rayon kwa dakika 27 asema kocha wa APR: Mechi baina ya APR na Rayon kurudiwa leo

    (GMT+08:00) 2017-09-27 09:26:20

    Shirikisho la Soka la Rwanda (FERWAFA) limesema mchezo kati ya APR na Rayon Sport ulivunjika jumapili dakika ya 63 kwa sababu ya kukatika umeme uwanjani,utarudiwa kuchezwa leo jumatano.

    Mchezo utaanzia dakika ya 63 sekunde ya 42 ambayo ilisimamishiwa mechi hiyo. Katika muda huo Rayon Sport ilikuwa mbele kwa mabao 2-0 dhidi ya APR.

    Katika mchezo huo wa leo, APR itaingia uwanjani na wachezaji 10 baada ya mmoja kupewa kadi nyekundu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako