• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi za EAC zatakiwa kutatua mizozo ya kibiashara kwa njia ya kirafiki

    (GMT+08:00) 2017-09-27 19:08:36

    Nchi za Afrika mashariki zimetakiwa kukumbatia mfumo wa kusuluhisha mizozo ya kibiashara kwa njia ya kirafiki. Akizungumza mjini Kigali Rwanda, Jaji mkuu wa Rwanda Bw Johnstone Busingye amesema hatua hiyo itasaidia kupunguza kesi nyingi za kibiashara katika mahakama za nchi zetu.

    Ameongeza kuwa njia hiyo ya kusuluhisha mizozo ya kibiashara bila kwenda mahakamani itapunguza gharama zinazoshuhudiwa na makampuni.

    Bw Busingye alisema hayo kwenye kongamano lililowaleta pamoja washiriki kutoka nchi za Kenya, Rwanda, Uganda na mahakimu wa Jumuiya ya Afrika mashariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako