• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya-Mwito serikali kuimarisha kilimo cha viazi

    (GMT+08:00) 2017-09-27 19:08:49

    Mamlaka ya ustawishaji kilimo cha viazi nchini Kenya imeitaka serikali kutoa ufadhili wa Sh10bn kuimarisha sekta hiyo.

    Mamlaka hiyo imesema fedha hizo zitatosha kuimarisha sekta hiyo katika uzalishaji,miundombinu ya uongezaji ubora na kupanua soko.

    Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Wachira Kaguongo amesema sekta hiyo kwa sasa inatoa pato lililo chini kwa asilimia 60 ya uwezo wake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako