• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hasheem Thabeet ajiunga na timu ya Kikapu ya Japan

    (GMT+08:00) 2017-09-28 08:31:05

    Mtanzania Hasheem Thabeet ambaye alikuwa anacheza mchezo wa mpira wa kikapu katika Ligi Kuu ya kikapu ya Marekani NBA, jana aliripotiwa kujiunga na timu ya kikapu ya Yokohama B-Corsairs inayoshiriki Ligi Kuu ya kikapu nchini Japan.

    Hasheem Thabeet ambaye ni mmoja kati ya wachezaji wa mpira wa kikakupu waliyofanikiwa Tanzania, amewahi kucheza vilabu kadhaa vya kikakupi nchini Marekani ambapo ndio nchi inayofanya vizuri kwa upande wa Basketball duniani, Hasheem amepewa jezi namba 34.

    Ligi Kuu ya kikapu nchini Japan inatarajiwa kuanza Ijuma hii ya September 29 2017. Hasheem Thabeet amewahi kuzichezea timu za Memphis Grizzlies, Portland Trail Blazers na Oklahoma City Thunder.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako