• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Sekta ya utalii Rwanda yapongezwa

    (GMT+08:00) 2017-09-28 18:44:57

    Mwenyekiti wa shirika la kutangaza utalii,biashara,uwekezaji na utamaduni baina ya Rwanda na India Fernandes Clarence ametambua juhudi za Rwanda kuboresha utalii kupitia kwa miradi ya maendeleo ya mila na tamaduni.

    Akiongea kwenye kongamano la kimataifa la utalii Mumbai India amesema Rwanda imepiga hatua kubwa sana katika utalii kutokana na harakati zake za kutangaza vivutio vya utalii nje ya nchi hiyo.

    Kongamano hilo limehudhuriwa na wadau tofauti katika sakta ya utalii duniani kama maafisa wa shirika la umoja wa mataifa ,baraza la kimataifa la utalii na wengine.

    Mwaka huu kongamano hilo la utalii limeangazia jinsi utalii ulivyochangia kwenye maendeleo ya kiuchumi.

    Bodi ya Rwanda ya maendeleo imepongezwa kwa kuongeza malipo ya kuwatazama mayonda kutoka dola 750 hadi 1500.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako