• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapinga vita na mgogoro kutokea kwenye peninsula ya Korea

    (GMT+08:00) 2017-09-28 18:52:09

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang amesema China inaunga mkono kushikilia kutatua suala la nyuklia la peninsula ya Korea kwa mazungumzo na majadiliano ya amani, na inatarajia pande zote husika zitafanya juhudi za kiujenzi ili kusukuma mbele mchakato wa kutokuwepo kwa silaha za nyuklia na kutimiza amani na utulivu kwenye peninsula ya Korea.

    Habari zinasema jana rais Moon Jae-in alikutana na vyama vya upinzani na kutoa taarifa ya pamoja ikisema Korea Kusini inaihimiza Korea Kaskazini kutoendeleza silaha za nyuklia, na kwamba nchi hiyo kamwe hairuhusu vita kutokea kwenye peninsula ya Korea, na inashikilia kutatua suala la nyuklia la peninsula ya Korea kwa njia ya amani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako