• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Falconets ya Nigeria kukipiga na Tanzanite katika kuwania kucheza fainali za Kombe la Dunia

    (GMT+08:00) 2017-09-29 08:40:40

    Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya wasichana wenye umri wa chini ya miaka 20 ya Nigeria 'Falconets' imetua jana usiku Tanzania, kuvaana na Tanzanite kwenye mchezo wa marudiano kuwania kucheza fainali za Kombe la Dunia. Mchezo huo wa marudiano utafanyika Jumapili ya Oktoba mosi mwaka huu, kwenye Uwanja wa Azam ulioko Chamazi, Dar es Salaam. Tanzania ina matumaini ya kufanya vema kwenye mchezo huo licha ya kupoteza kwa mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza uliofanyika Nigeria. Fainali za Kombe la Dunia zitafanyika Ufaransa hapo mwakani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako