• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kocha wa Orlando Pirates 'Micho' aahidi kujipanga upya

    (GMT+08:00) 2017-09-29 08:43:11

    Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa Uganda na sasa Orlando Pirates, Milutin 'Micho' Sredojevic amejipanga kurudi upya katika mchezo wao dhidi ya Polokwane, baada ya kufungwa bao moja kwa sifuri dhidi ya mabingwa watetezi Bidvets Septemba 23 katika ligi kuu ya Afrika Kusini.

    Micho alisema wanatambua walipoteza katika mechi za nyuma lakini wanaangalia mbele na kupata matokeo mazuri. Orlando Pirates na Polokwane watashuka katika dimba la Peter Mokaba, Jumamosi nchini Afrika Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako