• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yafanikiwa kurusha satilaiti tatu kwa roketi moja

    (GMT+08:00) 2017-09-29 18:07:35

    China imefanikiwa kurusha satilaiti tatu kwa roketi ya Long-March 2C katika kituo cha kurushia satilaiti cha Xichang leo mchana.

    Kampuni ya sayansi na teknolojia ya safari ya anga ya juu ya China imesema roketi ya Long-March 2C ina urefu wa mita 43 na uzito wa 245. Tangu roketi ya aina hii ianze kutumiwa mwaka 1975, imefanikiwa kurushwa kwa mara 44, na ni roketi ambayo imetumiwa kwa muda mrefu zaidi na kufanikiwa kwa mara nyingi zaidi miongoni mwa roketi za aina ya Long-March.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako