• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kufuzu kombe la dunia kwa wanawake: Tanzania yakung'utwa 6-0 na Nigeria

    (GMT+08:00) 2017-10-02 08:22:58
    Timu ya Taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 ya Tanzania, Tanzanite imetupwa nje ya michuano ya kuwania kucheza fainali za Dunia mwakani nchini Ufaransa, baada ya kukubali kichapo cha mabao 6-0 kutoka kwa Nigeria katika mechi iliyopigwa Jumapili kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

    Tanzanite imetolewa kwenye michuano hiyo kwa jumla ya mabao 9-0, baada ya awali kufungwa mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza nchini Nigeria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako