• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndayisenga kuongoza timu ya Rwanda ya Baiskeli katika mashindano yam bio za baiskeli ya Chantal Biya Grand Prix-Cameroon

    (GMT+08:00) 2017-10-02 08:23:18
    Bingwa wa mara mbili wa mbio za baiskeli wa Rwanda Valencia Ndayisenga, ataongoza timu ya Rwanda katika mbio ya Grand Prix Chantal Biya mwaka huu, iliyopangwa Oktoba 11-15 nchini Cameroon.

    Mbio hizo ni za mizunguko 4 zitakuwa za kilomita 579.3 zitajumuisha jumla ya wakimbiaji 6 toka Afrika na wa 5 toka Ulaya.

    Mashindano hayo mwaka huu yanafanyika kwa mara ya 17 mfululizo tangu kuanzishwa kwake mwaka 2001 nchini Cameroon.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako