• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matokeo ya nusu fainali kombe la Shirikisho: TP Mazembe yaibuka na ushindi.

    (GMT+08:00) 2017-10-02 08:23:41
    Mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya michuano ya shirikisho Afrika ulipigwa jana mjini Lubumbashi ambapo wenyeji TP Mazembe waliwakaribisha FUS Rabat.

    Mchezo huo ulimalizika kwa Tp Mazembe kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 lililofungwa na Malango katika dakika ya 14 ya mchezo.

    Katika nusu fainali nyingine ya michuano hiyo Super Sport walikuwa nyumbani kuwakaribisha Club African katika mchezo uliopigwa katika dimba la Lucas Moripe na kutoka suluhu ya 1-1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako