• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapokea watalii milioni 113 katika siku ya kwanza ya mapumziko ya Siku ya taifa

    (GMT+08:00) 2017-10-02 08:42:06

    Takwimu zilizotolewa na idara ya utalii ya China zinaonesha kuwa katika siku ya kwanza ya mapumziko ya Siku ya taifa, sehemu mbalimbali za China zimepokea watalii milioni 113 na kupata mapato ya dola bilioni 14.5 za kimarekani, ikiwa ni ongezeko la asilimia 10.5 na asilimia 12.2 mtawalia ikilinganishwa na mwaka jana muda kama huu. Takwimu pia zinaonesha idadi ya watalii wa China waliotemebelea nchi za nje siku hiyo kupitia huduma za mashirika ya utalii imefika laki 1.1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako