• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanunuzi wa tumbaku marufuku kutumia dola

    (GMT+08:00) 2017-10-02 20:25:36

    MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla ameagiza wanunuzi wa tumbaku wilayani Chunya kuacha kutumia mfumo wa malipo kwa Dola za Marekani, badala yake watumie shilingi za kitanzania.

    Makalla amesema kupitia mfumo wa malipo kwa dola wapo wajanja ambao wamekuwa wakinufaika kwa kuwaibia wakulima wasiokuwa na elimu ya kutosha juu ubadilishaji fedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako