• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania kinara malipo mtandaoni

    (GMT+08:00) 2017-10-02 20:25:50

    TAASISI ya Trademark East Africa imepongezwa kwa kuiwezesha Tanzania kuwa ndiyo nchi inayoongoza nchi zote za Afrika Mashariki kwa matumizi ya mifumo ya malipo kwa njia ya mtandao, kulipia huduma mbalimbali za kibiashara, hivyo kupunguza gharama za kufanya biashara.

    Aidha, hatua hiyo imeifanya Tanzania kuwa ni nchi ya mfano wa kuigwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki katika kuboresha mazingira ya kufanya biashara.

    Tanzania ndiyo nchi ya kwanza kunufaika na kufaidika na mfumo wa kisasa wa usajili vyeti na kuripoti vikwazo vya kibiashara kwa kutumia simu za mkononi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako