• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: kampuni mpya ya ngozi yatafuta njia ya kupunguza uagizaji wa ngozi kutoka nje

    (GMT+08:00) 2017-10-02 20:26:08

    Kiwanda cha bidhaa za ngozi ambacho kilianza shughuli zake katika Wilaya ya Bugesera mwaka jana inauwezo wakusaidia kupunguza muswada wa kuagiza nchi,wakuu wa kampuni hiyo wanasema.

    Kwa sasa, kiwanda hicho kinatengeneza ngozi na viatu lakini inasema ina mipango ya kuanza kutengeneza bidhaa zengine za ngozi pia.

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Bodi ya Taifa ya Maendeleo ya Kilimo (NAEB), Rwanda ilifirisha zaidi ya tani milioni 6,700 ya ngozi , na ikapata dola milioni 7 sawa na franc bilioni 5.6 mwaka 2016.

    Hata hivyo, karibu bidhaa zote za ngozi zinazotumiwa nchini Rwanda uagizwa kutoka nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako