• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Tanzania yaahidi kuipeleka timu ya taifa ya ngumi nchini Cuba.

    (GMT+08:00) 2017-10-03 08:24:01
    Serikali ya Tanzania imeahidi kuipeleka timu ya taifa ya ngumi za ridhaa nchini Cuba kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Jumuiya ya Madola mwaka 2018.

    Ahadi hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Yusuph Singo wakati wa kufunga michezo ya kujipima nguvu ya timu ya taifa kujiandaa na michezo ya hito mwakani..

    Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT) katika kuendeleza mchezo huo, hususan katika kuandaa timu ya Taifa mapema kwa ajili ya kushiriki mashindano hayo imesema timu hiyo itecheza michezo kadhaa ndani na nje ya nchi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako