• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi 3 zaonyesha nia ya kuandaa mechi za CHAN baada ya Kenya kunyang'anywa

    (GMT+08:00) 2017-10-03 08:24:21
    Shirikisho la kandanda barani Afrika (CAF) limethibitisha kuwa Equitorial Guinea, Ethiopia na Morocco wametuma maombi ya kuandaa mechi za taifa bingwa barani Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (CHAN).

    CAF wanatafuta mwandalizi mpya kuchukua nafasi ya Kenya ambayo ilipoteza fursa hiyo baada ya kushindwa kutimiza matakwa ya shirikisho la CAF. Mechi hizo zinatarajiwa kuanza Januari 12 hadi Februari 4 mwaka 2018.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako