• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Fainali ya Sepetuka 7s: Kabras yaizima Impala Saracens

    (GMT+08:00) 2017-10-03 08:24:40
    Kabras Sugar imeshinda duru ya kwanza katika mshindano ya raga za kitaifa za wachezaji 7 kila upande baada ya kuilipua Impala Saracens 26-7 katika fainali ya Sepetuka Sevens mjini Eldoret.

    Timu ya Homeboys imekamata nafasi ya tatu baada ya kuishinda Oilers 17-12. Mashindano ya raga za kitaifa za wachezaji saba kila upande zilianzishwa mwaka 1999 nchini Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako