• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mount Meru Marathon: Tanzania na Kenya zatawala

    (GMT+08:00) 2017-10-05 08:19:34
    Mashindano ya mbio zijulikanazo kama Mount Meru Marathon zimefanyika mjini Arusha huku wakimbiaji toka Tanzania na Kenya wakitawala mbio hizo.

    Mwanariadha Emmanuel Giniki wa Tanzania alishinda mbio hizo za kilimoita 21 kwa upande wa wanaume kwa kutumia 1:05:10, naye Paschal Mombo wa Kenya alikamata nafasi ya tatu kwa kutumia 1:06:24. nafasi ya kwanza na ya pili kwa upande wa wanawake zilichukuliwa na wanariadha toka Kenya, Dolfin Omary aliyeibuka nafasi ya kwanza kwa kutumia 1:13:10 huku Shelmit Muriuki akimaliza nafasi ya pili kwa kutumia 1:13:40

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako