• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Upasuaji mara 8 kumstaafisha Tiger Woods

    (GMT+08:00) 2017-10-03 08:25:55
    Mcheza golf bora duniani Tiger Woods amesema kwa sasa hawezi kucheza tena mchezo huo wala kushiriki mashindano yoyote ya golf kutokana na upasuaji wa mara 8 aliofanyiwa.

    Bingwa huyo mara ya mwisho kuonesha uwezo wake na kutwaa taji ilikuwa mwaka 2008, lakini kwa kipindi cha miaka 2 iliyopita amefanikiwa kucheza mashindano 6 tofauti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako