• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Serikali ya Rwanda yapiga marufuku uuzaji nje wa maziwa yasiosindikwa

    (GMT+08:00) 2017-10-03 18:20:23

    Serikali ya Rwanda imepiga marufuku uuzaji nje wa maziwa ambayo bado hayajasindikwa iki ni juhudi za kuhimiza kuongezea ubora wa bidhaa.

    Marufuku hiyo inalenga wakulima hasa katika mkoa wa magharibi wilaya za Rubavu, Rutsiro, Nyabihu na Ngororero.

    Wizara ya kilimo nchini humo inapanga pia kusaidia wakulima kuzalisha tani 800,000 za maziwa ifikapo mwkaa ujao ikilinganishwa na kiwango cha sasa ambacho ni lita 770,000 kwa mwaka.

    Zaidi ya lita milioni 1.5hukusanywz kila siku lakini ni asilimia 10 tu ya maziwa yote ambayo husindikwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako