• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kenya Airways kununua ndege ikijiandaa kwenda Marekani

    (GMT+08:00) 2017-10-03 18:25:00

    Shirika la ndege nchini Kenya Kenya Airways linapanga kuongeza idadi ya ndege zake aina ya Boeing 787 huku ikitarajia kuanza safari zake za moja kwa moja kwenda Marekani.

    Usimamizi wa shirika hilo umetangaza kwamba wanapanga pia kutia kandarasi ya uthibiti wa bei ya mafuta ili yakipanda yasiathiri shirika hilo ambalo tayari lilitumbukia kwenye hasara ya dola milioni 101.

    Aidha Kenya Airways inapanga kufuta safari zake za kwenye Hong Kong na Hanoi nchini Vietnam kuanzia Oktoba 29 ili ndege hiyo kutumiwa kwenye safari za Marekani na Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako